Balozi wa Kuwait nchini Tanzania, Jaseem Al Najem (kushoto) akimkabidhi Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Benjamini Mkapa, Dkt. Alphonce Chandika, sehemu ya vifaa tiba kwa ajili ya Watoto Njiti, vilivyotolewa na Ubalozi wa  Kuwait kwa kushirikiana na Taasisi ya Doris Mollel, katika hafla ya makabidhiano iliyofanyika mwishoni mwa wiki, mjini Dodoma. Wengine pichani ni Muanzilishi…

HOSPITALI ya Benjamin Mkapa (HBM) iliyopo Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), imeandika historia kwa kuwa hospitali ya pili nchini kufaulu kupandikiza fi go ndani ya mwili wa binadamu. Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) ndiyo iliyokuwa ya kwanza kuanza kupandikiza figo nchini na sasa Hospitali ya Benjamin Mkapa ambayo juzi Machi 22, mwaka huu, ilifanikisha…

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,na Rais wa Awamu ya Tatu Mh.Benjamin William Mkapa wakikata utepe kufungua rasmi la Hospitali ya utafiti wa Magonjwa iliyojengwa katika chuo kikuu cha Dodoma na kupewa jina Benjamin Mkapa Ultra Modern Hospital.Hospitali hiyo itatumika kwa mafunzo,tafiti na tiba ya magonjwa makubwa hususan figo na moyo. (picha na Freddy Maro)Rais Dkt.Jakaya Mrisho…

Copyright © 2020 - Benjamin Mkapa Hospital All rights reserved

Privacy Policy    |   Disclaimer   |    Sitemap   

English English Swahili Swahili