Hospitali ya kibingwa ya Benjamini Mkapa iliyopo jijini Dodoma imefanya upandikizaji wa figo kwa wagonjwa wengine watatu tarehe 27 na 28 mwezi wa nane 2018 kwa kushirikiana na madaktari bingwa kutoka Japan.Hii ni mara ya pili kwa Hospitali hii kufanya zoezi hili kubwa na lenye tija kwa taifa ambapo awali zoezi hili lilifanyika kwa mgonjwa…

   Hospitali ya kibingwa ya Benjamin Mkapa iliyopo jijini Dodoma imetoa msaada wa kiti chenye magurudumu (wheelchair) kwa mtoto Christopher Elias Masaka mwenye umri wa miaka kumi akitokea kijiji cha Mtitaa wilayani Bahi jijini Dodoma aliyelazimika kukatwa miguu yake yote kutokana na maradhi yaliyomkabili kwa muda mrefu. Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Benjamin Mkapa Dk….

Copyright © 2020 - Benjamin Mkapa Hospital All rights reserved

Privacy Policy    |   Disclaimer   |    Sitemap   

English English Swahili Swahili