HOSPITALI ya Benjamin MKapa iliyopo jijini Dodoma imeanza kufanya uchunguzi na matibabu ya magonjwa ya macho katika kambi maalum iliyoanza tarehe18-2-2019 katika hospitali hiyo na wagonjwa zaidi ya 500 wameshaonwa na mpaka sasa wagonjwa 150 wameshafanyiwa upasuaji na hali zao ni nzuri. Hayo yalibainishwa jana na Daktari bingwa wa macho Dk.Frank Sandi wa Hospitali hiyo alipokuwa…

Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto, Mh. Ummy Mwalimu leo tarehe 12-02-2019 amezindua huduma mpya ya uchunguzi na matibabu ya magonjwa ya moyo kwa kutumia maabara maalum inayojulikana kwa jina la Cath-lab katika Hospitali ya Benjamin Mkapa iliyipo jijini Dodoma kwa lengo la kuboresha na kupanua wigo wa huduma za matibabu…

Akizungumza na waandishi wa habari kuhusu kuanza kutolewa kwa huduma hiyo, Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo katika hospitali hiyo, Dk.Wilfred Rutahoile amesema wameanza kufanya uchunguzi na kuzibua mishipa ya damu na tayari wagonjwa 13 wamechunguzwa. “Wagonjwa hawa walikuwa wanasumbuliwa na matatizo ya kifua kwa muda mrefu na wamekuwa wakihudhuria kliniki hapa lakini bado maumivu…

Hospital ya Benjamin Mkapa (BMH) ya jijini Dodoma kupitia Kurugenzi ya Huduma za Uuguzi imetoa elimu ya magonjwa ya moyo, figo pamoja na huduma za Ukunga wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Kimataifa ya “Uuguzi Sasa” inayolenga kuinua hadhi na muonekano wa kada ya Uuguzi. Katika uzinduzi wa kampeni hiyo ambayo Waziri wa Afya, Maendeleo…

Copyright © 2020 - Benjamin Mkapa Hospital All rights reserved

Privacy Policy    |   Disclaimer   |    Sitemap   

English English Swahili Swahili