Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Benjamin Mkapa Dkt. Alphonce Chandika akiteta jambo na Rais Mstaafu wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Marehemu  Benjamin William Mkapa(kulia) alipotembelea Hospitali mnamo tarehe 20 novemba, 2019

Bodi ya Wadhamini, Menejimenti na Wafanyakazi wa Hospitali ya Benjamin Mkapa kwa manjonzi mazito, wanaungana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli na Watanzania wote kuomboleza kifo cha Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin William Mkapa kilichotokea tarehe 24 Julai, 2020. BMH daima tutaenzi uchapakazi wake, ukweli, uwazi na…

Copyright © 2020 - Benjamin Mkapa Hospital All rights reserved

Privacy Policy    |   Disclaimer   |    Sitemap   

English English Swahili Swahili