Maana ya Mlo Kamili: —Mlo ni kila kitu tunachokula kila siku —Mlo kamili ni mlo wenye viwango vya kutosha vya virutubisho tunavyohitaji kwa siku —Mlo kamili unajumuisha makundi 6 ya virutubisho —1.Mafuta —2. Proteini —3. Wanga —4. Faiba —5. Vitamini —6. Madini Kwa Elimu zaidi Pakua hapa…… Mlo Kamili

Copyright © 2020 - Benjamin Mkapa Hospital All rights reserved

Privacy Policy    |   Disclaimer   |    Sitemap   

English English Swahili Swahili