BMH imeanza rasmi kutoa huduma kwa Wagonjwa wa Ngozi baada ya kumpata Dkt. Eliasi Vicent Mayala, daktari bingwa wa magonjwa ya Ngozi na Zinaa.

Huduma hizo zitatolewa kila Alhamisi na Ijumaa katika Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma.

Kwa mwananchi wa Mikoya ya Kanda ya Kati, yaani Dodoma, Singida na Mikoa ya jirani yote wenye dalili za kuisha nywele, Mapunye, Ngozi kuwasha, kutokewa vipele, ngozi kukauka, ngozi kubadilika rangi, matatizo ya kucha, vipara wasihangaike kufuata huduma hizo umbali mrefu.

Copyright © 2020 - Benjamin Mkapa Hospital All rights reserved

Privacy Policy    |   Disclaimer   |    Sitemap   

English English Swahili Swahili