Bodi ya Wadhamini, Menejimenti na Wafanyakazi wa Hospitali ya Benjamin Mkapa kwa manjonzi mazito, wanaungana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli na Watanzania wote kuomboleza kifo cha Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin William Mkapa kilichotokea tarehe 24 Julai, 2020. BMH daima tutaenzi uchapakazi wake, ukweli, uwazi na uwajibikaji uliotukuka katika kujali afya za Watanzania. Mwenyezi Mungu aipumzishe roho yake

Copyright © 2020 - Benjamin Mkapa Hospital All rights reserved

Privacy Policy    |   Disclaimer   |    Sitemap   

English English Swahili Swahili