BMH imeanza rasmi kutoa huduma kwa Wagonjwa wa Ngozi baada ya kumpata Dkt. Eliasi Vicent Mayala, daktari bingwa wa magonjwa ya Ngozi na Zinaa. Huduma hizo zitatolewa kila Alhamisi na Ijumaa katika Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma. Kwa mwananchi wa Mikoya ya Kanda ya Kati, yaani Dodoma, Singida na Mikoa ya jirani yote wenye…

Dkt. Gwajima ameyasema hayo wakati akizindua rasmi kitabu cha huduma kwa Mteja, pamoja na Idara ya magonjwa ya saratani na maabara ya patholojia na kufurahishwa na mafanikio makubwa ya Hospitali hiyo. Awali akisoma taarifa yake wakati wa uzinduzi huo, Mkurugenzi  Mtendaji wa Hospitali ya Benjamin Mkapa Dkt. Alphonce Chandika  alibainisha kuwa  Mkataba huo wa huduma…

Jumla ya wataalamu wa TEHAMA 36 Kutoka Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Afya  na Wizara ya TAMISEMI wanakutana BMH katika kikao kazi cha siku 3 kujadili kwa pamoja namna ya kuwa na mfumo mmoja wenye tija ya kuboresha utoaji wa huduma za afya kuanzia ngazi ya afya ya msingi (PHC) hadi Taifa.

Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Benjamin Mkapa Dkt. Alphonce Chandika akiteta jambo na Rais Mstaafu wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Marehemu  Benjamin William Mkapa(kulia) alipotembelea Hospitali mnamo tarehe 20 novemba, 2019

Bodi ya Wadhamini, Menejimenti na Wafanyakazi wa Hospitali ya Benjamin Mkapa kwa manjonzi mazito, wanaungana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli na Watanzania wote kuomboleza kifo cha Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin William Mkapa kilichotokea tarehe 24 Julai, 2020. BMH daima tutaenzi uchapakazi wake, ukweli, uwazi na…

SOME 30 medical practitioners including nurses and midwives at the Benjamin Mkapa Hospital have received training through Tanzania National Nurses Association (TANNA) on prevention of a hospital-acquired infection (HAI). Under the auspices of Johnson and Johnson, a multinational pharmaceutical company, the training was geared towards imparting knowledge on proper use of medical devices to medical…

PEOPLE who have obesity in the country can now breathe a sigh of relief after the Benjamin Mkapa Hospital (BMH) to start performing bariatric surgery, an operation performed on people who have obesity. Bariatric surgery or weight loss surgery is achieved by reducing the size of the stomach with a gastric band or through removal…

Waandishi wa Habari Watembelea Hospitali ya Benjamin Mkapa WAANDISHI wa habari wapatao 30 kutoka vyombo mbalimbali vya habari wametembelea Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) kujionea uwekezaji mkubwa uliofanywa na Serikali kupitia Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF). Meneja Mawasiliano wa NHIF, Angela Mziray, anasema ziara hiyo iliyoratibiwa kwa pamoja na Klabu ya Waandishi…

Page 1 of 41 2 3 4

Copyright © 2020 - Benjamin Mkapa Hospital All rights reserved

Privacy Policy    |   Disclaimer   |    Sitemap   

English English Swahili Swahili