Utangulizi

Tume ya Taifa ya Uchaguzi kwa mamlaka iliyopewa chini ya ibara ya 41 (4) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, ikisomwa pamoja na vifungu vya 35B (1), 37 (1) (a) na 46 (1) vya Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura ya 343  na kifungu cha 48 (1) cha Sheria ya Uchaguzi ya Serikali za Mitaa, Sura ya 292 imetangaza tarehe 28 Oktoba, 2020 ambayo ni siku ya Jumatano kuwa ni siku ya Uchaguzi Mkuu wa Rais na Wabunge kwa Jamhuri ya Muungano na Madiwani kwa Tanzania Bara.

Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania ametangaza siku hiyo kuwa ni siku ya mapumziko.

Ratiba ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 ni kama ifuatavyo: –

KWA UNDANI WA SEMINA HII INGIA HAPA……… SEMINA YA UCHAGUZI

Dkt. Cosmass Mwaisobwa Mkurugenzi wa Habari na Elimu ya mpiga kura, akitoa semina kwa wafanyakazi wa BMH juu ya maandalizi ya Uchaguzi na Kupiga kura.

Wafanyakazi wa BMH wakifuatilia semina ya Maandalizi ya Uchaguzi.

 

Copyright © 2020 - Benjamin Mkapa Hospital All rights reserved

Privacy Policy    |   Disclaimer   |    Sitemap   

English English Swahili Swahili