
Maana ya Mlo Kamili:
Mlo ni kila kitu tunachokula kila siku
Mlo kamili ni mlo wenye viwango vya kutosha vya virutubisho tunavyohitaji kwa siku
Mlo kamili unajumuisha makundi 6 ya virutubisho
1.Mafuta 2. Proteini 3. Wanga 4. Faiba 5. Vitamini 6. Madini
Kwa Elimu zaidi Pakua hapa…… Mlo Kamili