UFAFANUZI

HII NI SARATANI INAYOWEZA KUATHIRI SEHEMU ZIFUATAZO;

SEHEMU YA NYUMA YA ULIMI (PHARYNX)

KOO LA HEWA (LARYNX)

NJIA YA CHAKULA (ESOPHAGUS)

 

DALILI

KUPOTEA KWA SAUTI

KIKOHOZI KIKAVU

KUSHINDWA KUPUMUA

KUSHINDWA KUMEZA

KUKOHOA DAMU

KUPATA TEZI SHINGONI

 

 

 

 

Kuipata Semina hii Pakua hapa  kansa ya koo

Copyright © 2020 - Benjamin Mkapa Hospital All rights reserved

Privacy Policy    |   Disclaimer   |    Sitemap   

English English Swahili Swahili