
Introduction
- Group of Eye disorders characterized by:
- Characteristic Progressive optic neuropathy
- Characteristic irreversible visual field defects
- Raised IOP as the only modifiable risk factor
Kuipata Semina hii Pakua hapa Glaucoma at BMH CME
Dr Amon Mwakakonyole akiseminisha wafanyakazi wa BMH juu ya Glaucoma
Mkurugenzi mtendaji Dr. Alphonce B. Chandika (kulia) akifuatilia semina ya Glaucoma
Wafanyakazi wa BMH wakifuatilia semina ya Glaucoma