SEHEMU ZA SIKIO

KAZI ZA SIKIO

  1. KUSIKIA
  2. KUWEKA BALANCE YA MWILI

VITU VYA KUFANYA

  1. KUEPUKA KUKAA ENEO LENYE KELELE KUBWA
  2. KUTOKUINGIZA KITU CHOCHOTE MASIKIONI KWA LENGO LA KUSAFISHA SIKIO
  3. KUEPUKA KUTUMIA EAR PHONES HASA KWA SAUTI KUBWA
  4. KUTOKUTOBOA MASIKIO
  5. KUTIBU MAGONJWA YA MASIKIO MARA MOJA PINDI YATOKEAPO
  6. KUTOKUTUMIA DAWA BILA USHAURI WA DAKTARI.

Copyright © 2020 - Benjamin Mkapa Hospital All rights reserved

Privacy Policy    |   Disclaimer   |    Sitemap   

English English Swahili Swahili