Duka la Dawa
BHM hutoa huduma za dawa kwenye maduka ya dawa, dawa zote hupatikana kuanzia za kawaida na dawa maalumu, duka letu kubwa la dawa lipo gholofa ya kwanza katika Jengo lenye huduma mbalimbali za wagonjwa wa ndani, unaweza pia kupata huduma hizo kwenye Idara ya Magonjwa ya Dharura na Ajali na unaweza kuzipata katika jengo la Huduma za Jamii.