THE HOSPITAL WELCOME NOTE
Welcome to the Benjamin Mkapa Hospital (BMH) website.
We are at the fore front of modern medical care from the day we were set by the Government of The United Republic of Tanzania on October 13th 2015 to provide quality health services. The BMH is a public tertiary, referral and training University institution with a purpose of addressing the need for advanced, specialized healthcare services in Tanzania and Africa, to be provided through acquisition of high-tech, ultramodern diagnostic equipment, skilled staff and advanced treatment. The institution is in Dodoma, and it is the main government Hospital in the capital city serving a catchment population of about 14 million people. The Hospital is under the Ministry of Health and works closely in collaboration with the University of Dodoma. The BMH also has extensive linkages with other institutions in Africa, Europe, Middle East, Asia and America.
We provide quality specialized and super-specialized health services, which were mostly not offered in the country by using modern sciences. The BMH owns state of art equipment such as Computed Tomography (CT) and Magnetic Resonance Imaging (MRI) and Cardiac Catheterization Laboratory.
On top of normal specialized services, we offer comprehensive treatments of Kidney related diseases and Kidney Transplant, Born Marrow transplant and Hematology, Penile Transplantation, Cardiology and Open-heart surgery, Neurosurgery, Orthopedics and Traumatology, Oncology, Radiotherapy, Nuclear Medicine, Laparoscopic and Endoscopic procedures.
Apart from clinical care, we do provide University medical training, conduct research and offer consultancy. The BMH also provides medical tourism to patients from various African countries.
Executive Director
The Benjamin Mkapa Hospital, Dodoma, Tanzania
Idara ya Magonjwa ya Moyo na Upasuaji wa Moyo na Kifua katika Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) imeendelea kukua kwa hatua tangu kuanzishwa kwa hospitali mwaka 2015. Hapo awali, huduma zilikuwa zikitolewa na daktari bingwa mmoja wa magonjwa ya moyo kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma. Katika kipindi hicho, ...
Maabara ya Catheterization (Cath Lab) Hospitali ya Benjamin Mkapa Maabara ya Catheterization (Cath Lab) katika Hospitali ya Benjamin Mkapa inatoa mazingira ya kisasa yanayowawezesha madaktari bingwa, wauguzi waliobobea na wataalamu wa teknolojia ya kitabibu kufanya taratibu maalum za uchunguzi na ma ...
Kitengo cha Tiba Mbadala ya Figo (Renal Replacement Therapy - RRT) Hospitali ya Benjamin Mkapa Kitengo cha Tiba Mbadala ya Figo (RRT) katika Hospitali ya Benjamin Mkapa kinatoa huduma za kibingwa zinazolenga kuchukua nafasi ya kazi ya kawaida ya figo kwa wagonjwa ambao figo zao haziwezi tena kufanya ...
Idara ya Hematologia – Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) Kinara wa Huduma za Magonjwa ya Damu Afrika Mashariki na Kati Utangulizi Idara ya Hematologia ya Hospitali ya Benjamin Mkapa ni kitovu cha kitaifa na kikanda cha huduma maalum za magonjwa ya damu. Tangu kuanzishwa kwake mwaka 2018, idara imee ...
Upasuaji wa Mifupa (Orthopaedic Surgery) Madaktari bingwa wa upasuaji wa mifupa katika Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) wanajikita katika uchunguzi, matibabu, na kinga dhidi ya matatizo yanayoathiri mfumo wa musculoskeletal. Mfumo huu unajumuisha mifupa, viungo, mishipa ya viungo, kano, misuli, na ...
Huduma za Upasuaji wa Matundu Madogo “Upasuaji wa matundu madogo,” pia hujulikana kama “upasuaji wa kisasa usiohitaji kufungua tumbo kwa kiasi kikubwa” ni mbinu ya kisasa ya upasuaji inayotumia matundu madogo na vifaa maalum kwa ajili ya kuchunguza na kutibu matatizo ndani ya tumbo na nyonga. Katika ...
Idara ya Tiba ya Dharura Sifa za kipekee za idara (faida ya ushindani)Idara ya Tiba ya Dharura ni ra ...
Kitengo cha Magonjwa ya Ndani na Mfumo wa Chakula kilianzishwa mwaka 2015 chini ya Kurugenzi ya Hudu ...
Idara ya Watoto ilianzishwa mwaka 2018 kwa lengo la kutoa huduma maalum na za kibingwa zaidi kwa wat ...
Idara ya Magonjwa ya Wanawake na Uzazi (OBGY) Idara ya OBGY ilianzishwa mwaka 2015 kwa lengo la kuto ...
Kliniki ya Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu katika Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) ni kitov ...
Kliniki ya upasuaji wa jumla ni kituo cha matibabu ambapo taratibu za upasuaji na ushauri hutolewa n ...
Kituo cha uzalishaji wa oksijeni katika Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) ni moja ya miundombinu muhimu ya kimkakati inayohakikisha upatikanaji wa gesi tiba ya oksijeni kwa ajili ya matibabu ya wagonjwa. Kituo hiki kilianzishwa ili kupunguza utegemezi wa vyanzo vya nje vya oksijeni na kuhakikisha ut ...
Read MoreIdara ya Huduma za Maiti na Uchunguzi wa Kisayansi (Forensic) Sifa za Idara (Faida ya Ushindani); Idara yetu inatoa huduma kamilifu za uchunguzi wa maiti na uchunguzi wa kisayansi kwa umakini, usiri, na kufuata maadili ya kitaaluma. Tunatumia vifaa vya kisasa vya uchunguzi pamoja na timu yenye mafu ...
Read MoreThe Laundry Department at Benjamin Mkapa Hospital plays a critical role in ensuring hygiene, infection control, and patient safety by providing clean and sanitized linen and garments to all hospital units. It supports both clinical and non-clinical departments by handling a wide range of washable it ...
Read MoreA hospital ambulance is a specially equipped vehicle designed to transport patients to and from hospitals, providing immediate medical care during transit. It is typically staffed with paramedics or emergency medical technicians (EMTs) who are trained to handle medical emergencies on the spot. Ambul ...
Read MoreIdara hii ilianzishwa mwaka 2015. Idara ya maabara inashughulika na utoaji wa huduma za kibingwa katika takribani vipimo zaidi ya miambili kwenye maeneo yafuatayo: “Parasitology”, “Microbiology”, “Serology”, “Molecular Biology”, “Immunology”, “Clinical “Chemistry”, “Haematology”, “Blood Transfusion” ...
Read MoreIdara ya Radiolojia ya Hospitali ya Benjamin Mkapa ni nguzo muhimu ya huduma za uchunguzi na tiba kwa njia ya picha, ikiwa na mchango mkubwa katika huduma kwa wagonjwa kutoka fani zote za kitabibu. Tangu kuanzishwa kwake, idara hii imekua na kuwa kituo cha kisasa kinachotoa huduma mbalimbali za upim ...
Read More