Habari
TUZINGATIE UBORA WA HUDUMA KWA WANANCHI
Waziri wa Afya Mhe. Mohamed Mchengerwa amewataka watumishi wa wizara hiyo kuongeza ubora wa utoaji huduma kwa kuwa afya si gharama bali afya ni uwekez...
Soma ZaidiPROF. MAKUBI AMSHUKURU RAIS SAMIA KWA KUWEZESHA HOSPITALI YA BENJAMIN MKAPA KUPA...
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Benjamin Mkapa, Prof. Abel Makubi amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutoa Bilioni 3 kwa ajili ya kuwawezesh...
Soma ZaidiTUNAHITAJI MASHIRIKIANO NA TAASISI NYINGINE ILI KUTIMIZA DIRA YA HOSPITALI YA BE...
Na. Jeremiah Mbwambo, 06/01/2026 Dodoma Picha: Ludovick Kazoka Hayo yamesemwa leo na Mkurugenzi Mtendaji Hospitali ya Benjamin Mkapa Prof. Abel Ma...
Soma ZaidiHOSPITALI YA BENJAMIN MKAPA YAINGIA MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO NA TAASISI YA AFY...
Na Jeremia Mwakyoma DODOMA - JANUARI 5, 2026 Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) na Taasisi ya Afya Cheki Foundation Leo zimeingia rasmi makubaliano y...
Soma ZaidiMENEJIMENTI YA HOSPITALI YA BENJAMIN MKAPA (BMH) YATOA MKONO WA SIKUKUU KWA WATU...
●Mkurugenzi Mtendaji Prof. Abel Makubi awashukuru Watumishi wa BMH kwa Utendaji mzuri katika mwaka 2025, awataka kuongeza uwajibikaji na ubora wa hudu...
Soma ZaidiBMH kushirikiana na Serikali ya Malawi katika Kuboresha Matibabu ya Kibobezi, M...
20 Desemba 2025, Lilongwe Malawi Hospitali ya Benjamin Mkapa(BMH) imefungua ukurasa mpya wa kupanua mashirikiano na Serikali ya Malawi kupitia Wizara...
Soma ZaidiKAMBI YA MADAKTARI BINGWA WA MOYO KUTOKA BMH YAHITIMISHWA MKOANI RUVUMA, WAGONJW...
Na Jeremia Mwakyoma SONGEA - RUVUMA, NOV. 21, 2025 Kambi ya Madaktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo kwa Watoto na Watu wazima kutoka Hospitali ya Benj...
Soma ZaidiBMH YAPELEKA HUDUMA ZA KIBOBEZI ZA MATIBABU YA MOYO KWA WATOTO NA WATU WAZIMA MK...
Na Jeremia MwakyomaIgunga, Tabora - Dec 27, 2025 Timu ya Madaktari Bingwa Wabobezi wa Moyo kutoka Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) wamepiga kambi M...
Soma ZaidiBMH KUONGEZA MASHIRIKIANO NA NMB
Menejimenti ya Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) itaendelea kukuza mashirikiano na Benki ya NMB katika kuboresha huduma za pande zote ili kuhakikisha...
Soma ZaidiBMH KUTAFUTA FURSA ZA UWEKEZAJI KATIKA HUDUMA ZA MATIBABU YA KIBOBEZI
Mkurugenzi Mtendaji Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH ) Prof Abel Makubi amemtembelea Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Bi...
Soma ZaidiWAKAZI WA MKOA WASINGIDA WANUFAIKA NA UCHUNGUZI NA MATIBABU YA MOYO: 26 WAPEWA R...
Na. Jeremiah Mbwambo, Dodoma, Desemba 5, 2025Hospitali ya Benjamin Mkapa kwa kushirikiana na Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida wameendesha kambi y...
Soma ZaidiBMH YAIBUKA NA USHINDI WA VIKOMBE VITATU SHIMMUTA 2025
Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) imeibuka kinara baada ya kujinyakulia jumla ya vikombe vitatu katika mashindano ya SHIMMUTA yaliyomalizika leo mkoan...
Soma Zaidi