HOSPITALI YA BENJAMIN MKAPA IMEWEKA KAMBI JIJINI ARUSHA

Published: Jul 20, 2026
HOSPITALI YA BENJAMIN MKAPA IMEWEKA KAMBI JIJINI ARUSHA cover image

19 JULAI 2026, ARUSHA

Mkuu wa msafara Daktari Bingwa wa magonjwa ya mfumo wa mkojo, Okoa Sukunala ameeleza mwitikio wa wananchi wa  Arusha kuhudhuria kwenye kambi hiyo umekuwa mkubwa

 

"Mpaka kufikia leo tumewaona na kuwahudumia wananchi katika maeneo haya wagonjwa wa mfumo wa mkojo 530, Wagojwa wa damu 397, Wagonjwa wa figo 431, wakati uchunguzi wa saratani ya mlango wakizazi na matiti umefanyika kwa jumla ya wagonjwa 1226" amesema Dkt. Okoa

 

Kambi hiyo imeratibiwa na Mhe. Poul Makonda Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini ameipongeza Hospitali ya  Benjamin Mkapa kwa kuleta madaktari na kuwahudumia wananchi wa Arusha.