Hematolojia
Huduma Tunazotoa
- Utoaji wa huduma maalum kwa wagonjwa wa nje na wagonjwa wa ndani, katika hali zinazohusiana na damu ikiwa na pamoja na Saratani kama Leukemias na Lymphoma na hali isiyo ya saratani kama ugonjwa wa seli mundu na upungufu wa damu na aina nyingine za upungufu wa damu unaosababishwa na upungufu wa lishe
- Utoaji wa uchunguzi maalum ikiwa ni pamoja na utaratibu wa uchunguzi wa Uboho, usindikaji na tafsiri na utaratibu wa Trephoine Biopsy
- Kliniki ya Huduma ya Siku kwa wagonjwa ambao ni wategemezi wa Kuongezewa damu inayosababishwa na magonjwa anuwai ya Uboho kama vile Myelodysplastic Syndrome na Anemia ya Aplastiki
Ratiba
Kliniki ya Wagonjwa wa Nje
Jumatatu na Alhamisi kuaniza saa 2:30 asubuhi mpaka saa 8:00 mchana
Wagonjwa wa ndani ni kila siku
Vipimo maalum kama vile BMA (Biopsy ya Uboho na Aspiration)
Ijumaa kuanzia saa 2:30 asubuhi mpaka saa 8:00 mchana
Kliniki za Siku
Jumanne kuanzia saa 2:30 asubuhi mpaka saa 8:00 mchana