Sehemu ya Maabara Tiba
Published on July 01, 2025

Idara hii ilianzishwa mwaka 2015. Idara ya maabara inashughulika na utoaji wa huduma za kibingwa katika takribani vipimo zaidi ya miambili kwenye maeneo yafuatayo: “Parasitology”, “Microbiology”, “Serology”, “Molecular Biology”, “Immunology”, “Clinical “Chemistry”, “Haematology”, “Blood Transfusion” na “Histopathology” kwa wagonjwa wa ndani na nje ya Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH). Pia idara ina kitengo cha damu salama ambacho shughuli yake kuu ni kukusanya damu salama kwa ajili ya wangonjwa wenye uhitaji wa kuongezewa damu salama na kitengo cha ‘EMD’ kwa ajili ya wagonjwa wanaohitaji kufanyiwa vipimo kwa dharura au haraka.
Taarifa/idadi ya wataalamu katika idara
“Pathologists” |
3 |
“Specialized Laboratory Scientist” |
2 |
“Laboratory Scientist” |
16 |
“Laboratory Technologist” |
38 |
“Nurse” |
01 |
“Laboratory Attendant” |
1 |
“Social worker” |
1 |
JUMLA |
62 |
ORODHA/IDADI YA HUDUMA ZINAZOTOLEWA NA IDARA (ILIPOANZA NA SASA)
VIPIMO VYA MAABARA VILIVYOFANYIKA: 2021-2024
Section Name |
2021 |
2022 |
2023 |
2024 |
“BLOOD TRANSFUSION” |
13752 |
15488 |
17852 |
18341 |
“CHEMISTRY” |
85993 |
83432 |
110686 |
160781 |
“HAEMATOLOGY” |
50094 |
50082 |
56683 |
69865 |
“HISTOLOGY” |
2223 |
2708 |
2907 |
3248 |
“IMMUNOLOGY” |
17077 |
15417 |
18448 |
24828 |
“MICRO BIOLOGY” |
5271 |
7824 |
7998 |
9200 |
“MICRO TB” |
802 |
1167 |
1125 |
1492 |
“MOLECULAR BIOLOGY” |
0 |
0 |
4 |
4 |
“PARASITOLOGY” |
51302 |
55399 |
58395 |
63472 |
“SEROLOGY” |
21835 |
19522 |
24858 |
27347 |
Jumla Kuu |
248349 |
251039 |
298956 |
378578 |
Mafanikio ya Idara
i) Utafiti na Mafunzo
Idara imefanya publication mbili mwezi Machi 2022 zenye Kichwa “Antimicrobial Resistance Patterns of Escherichia coli O157:H7, Salmonella, and Shigella Species from Stool Samples of Patients with Diarrhea at Benjamin Mkapa Hospital” na tafiti nyingine yenye title “Prevalence, Antimicrobial Susceptibility Patterns of Bacterial Isolates and Risk Factors of Access Related Infection among Hemodialysis Patients at Benjamin Mkapa Hospital”. Kadhalika, inaendelea na kuandaa data za “Antimicrobial Resistance Testing (AMR)” kwenye Kitengo cha Microbiology na kutuma data hizo maabara kuu ya taifa kama ilivyo azimio la Wizara ya Afya.
ii) Ithibati
Idara ya Maabara kutoa huduma katika kiwango cha kimataifa na kutunukiwa cheti cha ithibati kutoka “SADCAS’ baada ya kufanyiwa assessment mbalimbali.
iii) Kuongeza vipimo
Idara imefanikiwa kuongeza vipimo mbalimbali katika idara mbalimbali kama; “Frozen section”, “Immuno-histochemistry”, “Histology”, “Cytology”, “Haematology”, “Chemistry” , “Immunology”.