MAONI
Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) imeandaa utaratibu maalumu wa kukusanya maoni ya wagonjwa na ndugu waliopata huduma BMH kwa lengo la kuboresha huduma.
Kwa kutambua umuhimu wa maoni ya wagonjwa; Toa Maoni yako kupitia tovuti ya umma ya kutoa malalamiko e-mrejesho;https://emrejesho.gov.go.tz/home
Au pia kupitia kiunganishi (link) maalumu kimewekwa hapo chini ambayo ukibofya/ukigusa kitakupeleka moja kwa moja kwenye fomu ya kuweka maoni.
https://docs.google.com/forms/d/e/1FAIpQLSeqROK226uBi3H9LFS2R0P_1LRoYFIVimzvM7XyE-jr7b3F-Q/viewform?vc=0&c=0&w=1&flr=0
Maoni yako ni Muhimu kwa kuboresha huduma za BMH.
Aidha Njia zingine za kutufikia kutoa maoni ni:
1. Call centre (free and 24hrs) namba 0735 000 002
2. Whatsapp - BMH na Wateja groups 1, 2 na 3
3. Masanduku ya Maoni ndani ya Hospitali
4. Mkutano wa wazi wa Menejimenti na Wateja eneo la Mapokezi, kila Jumatatu saa 3:00 asubuhi
5. Kuonana na Maafisa huduma kwa Wateja au Staff yeyote ndani ya Hospitali
Karibuni sana tupo tayari kuwahudumia