Habari
WAGONJWA 572 WANUFAIKA MATIBABU YA MACHO KUTOKA KWA MADAKTARI BINGWA WA BMH
Kambi ya madaktari Bingwa wa macho kutoka Hospitali ya Benjamin Mkapa(BMH) iliyofanyika wilaya ya Newala, Mtwara leo Juni 2, 2023 imefikia tamati na i...
Soma ZaidiWALIOTIBIWA MACHO WAPEWA ELIMU YA KUYATUNZA
Madaktari Bingwa wa Magonjwa ya Macho kutoka Hospitali ya Benjamin Mkapa Dodoma (BMH) wametoa elimu ya jinsi ya kutunza macho kwa wagonjwa walionufaik...
Soma Zaidi56 WACHUNGUZWA MACHO 15 WAKIFANYIWA UPASUAJI MTOTO WA JICHO NEWALA
Mtwara, 30 Mei, 2023 Madaktari Bingwa wa magonjwa ya macho kutoka Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kati ya Benjamin Mkapa (BMH) leo Mei 30, 2023 wamean...
Soma ZaidiKOFIH YA FURAHISHWA MIUNDOMBINU HUDUMA ZA DHARURA-BMH
May 30,2023 Dodoma, Profesa Kang Hyun Lee wa shirika la Korea Foundation for International Healthcare (KOFIH) linalojihusisha na kutoa misaada ya hud...
Soma ZaidiMHE. UMMY MWALIMU (MB), WAZIRI WA AFYA AWASILISHA MAKADILIYO YA MAPATO NA MATUMI...
Mhe. Ummy Mwalimu (Mb), Waziri wa Afya leo 11 Mei, 2023 amewasilisha makadilio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Afya kwa mwaka wa Fedha 2023-2024 ka...
Soma ZaidiWAZIRI MKUU AZINDUA HUDUMA ZA KUPANDIKIZA ULOTO KATIKA HOSPITALI YA BENJAMIN MKA...
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb), 10 Mei, 2023 alizindua rasmi huduma za Upandikizaji wa Uloto...
Soma ZaidiSERIKALI KUANZA NAΒ RADIOLOJIA KATIKA TIBA MTANDAO
Serikali itaanza na huduma ya radiolojia katika tiba mtandao (telemedicine) pale itakapoanza mwezi ujao. Mkurugenzi wa TEHAMA kutoka Wizara ya Afya,...
Soma ZaidiKAMBI YA UCHUNGUZI NA MATIBABU YA MOYO KWA WATOTO INAENDELEA
Madaktari bingwa wa Moyo wa Hospitali ya Benjamini Mkapa na Chuo Kikuu Dodoma UDOM, kwa kushirikiana na wenzao kutoka shirikia lisilo la kiserikali la...
Soma ZaidiDR MOLLEL AWASHUKURU TOKUSHUKAI MEDICAL GROUP
Kauli hiyo imeelezwa na Naibu Waziri wa Afya, Dkt Godwin Mollel alipokutana na uongozi wa Shirika la afya la Japan, TOKUSHUKAI MEDICAL GROUP leo katik...
Soma ZaidiMAADHIMISHO YA MIAKA MITANO YA UPANDIKIZAJI FIGO BMH
Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) leo imetimiza miaka mitano toka ilipoanzisha huduma hiyo. Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali, Dkt Alphonce Chandika,...
Soma ZaidiBALOZI WA NORWAY ARIDHISHWA NA HUDUMA BMH
Balozi wa Norway nchini, Bi Elisabeth Jacobsen, ameridhishwa na huduma za afya katika Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) jijini Dodoma. Akiwa katika z...
Soma ZaidiBMH YACHANUA MIAKA MIWILI YA Dkt. SAMIA SULUHU HASSAN
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Benjamin Mkapa Dodoma Dkt. Alphonce Chandika ametoa tathimini ya mafanikio ya Hospitali hiyo ndani ya miaka miwili...
Soma Zaidi