MAADHIMISHO YA MIAKA MITANO YA UPANDIKIZAJI FIGO BMH
Mar 17, 2023

Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) leo imetimiza miaka mitano toka ilipoanzisha huduma hiyo. Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali, Dkt Alphonce Chandika,...

Soma Zaidi
BALOZI WA NORWAY ARIDHISHWA NA HUDUMA BMH
Mar 01, 2023

Balozi wa Norway nchini, Bi Elisabeth Jacobsen, ameridhishwa na huduma za afya katika Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) jijini Dodoma. Akiwa katika z...

Soma Zaidi
BMH YACHANUA MIAKA MIWILI YA Dkt. SAMIA SULUHU HASSAN
Feb 24, 2023

Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Benjamin Mkapa Dodoma Dkt. Alphonce Chandika ametoa tathimini ya mafanikio ya Hospitali hiyo ndani ya miaka miwili...

Soma Zaidi
WATOTO 72 WAFANYIWA UCHUNGUZI WA MAGONJWA YA MOYO, UPASUAJI MKUBWA NA UPASUAJI M...
Feb 14, 2023

Dodoma; Februari 10 2023. Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) kwa kushirikiana na shirika lisilo la kiserikali la The Childrens Heart Charity Associati...

Soma Zaidi
Dkt. CHANDIKA: BIMA YA AFYA KWA WOTE ITAONGEZA WIGO WA HUDUMA
Jan 23, 2023

Januari 23, 2023 Dodoma  Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH)-Dodoma, Dkt Alphonce Chandika amesema kuwa Bima...

Soma Zaidi
BMH YAZINDUA KIKOSI KAZI KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA NA UKATILI DHIDI YA WA...
Dec 23, 2022

Disemba 22, 2022 Dodoma, Hospitali ya rufaa Benjamin Mkapa ya jijini Dodoma imezidua kikosi kazi chenye jukumu la kutoa elimu juu ya unyanyasaji wa...

Soma Zaidi
Mkurugenzi Mtendaji BMH akutana na Mabalozi
Nov 25, 2022

Mkurugenzi Mtendaji Hospitali ya Benjamin Mkapa Dkt.Alphonce Chandika leo amekutana na mabalozi wa Tanzania waliopo Mashariki ya kati,Ulaya na Amerika...

Soma Zaidi
BMH KUZALISHA WATAALAMU WA RADIOGRAFIA
Nov 03, 2022

Dodoma - BMH Novemba 3, 2022 Hospitali ya Benjamin Mkapa Dodoma imezindua Chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi kitakachozalisha wataalamu wa Radiograf...

Soma Zaidi
ALAMEDA WAITEMBELEA BMH
Oct 20, 2022

Dodoma Oktoba 20, 2022. Hospitali ya Benjamin Mkapa Dodoma kushirikiana na Hospital ya Alameda ya nchini Misri ili kuendelea kuboresha na kukuza viwa...

Soma Zaidi
MIAKA 7 YA BMH: MKURUGENZI AELIMISHA BIMA YA AFYA KWA WOTE
Oct 13, 2022

Dodoma Oktoba 13, 2022 Hospitali ya Benjamin Mkapa Dodoma leo Oktoba 13, imetimiza miaka saba tangu ilipoanza kutoa huduma za Afya Oktoba 13, 2015....

Soma Zaidi
SIKU YA MOYO DUNIANI - WATOTO 68 WACHUNGUZWA MOYO BMH
Sep 29, 2022

SIKU YA MOYO DUNIANI - WATOTO 68 WACHUNGUZWA MOYO BMH Wazazi wajitokeza kwa wingi kupeleka watoto kuchunguzwa na kutibiwa magonjwa ya Moyo kwenye kam...

Soma Zaidi
WATOTO 13 KUTIBIWA MOYO BMH
Sep 26, 2022

WATOTO 13 KUFANYIWA UPASUAJI WA MOYO BMH Septemba 26, 2022. Dodoma Na Raymond Mtani. Kambi ya uchunguzi na  matibabu ya Moyo kwa watoto imean...

Soma Zaidi