Habari
BMH YAAHIDI KUAANDAA MAFUNZO YA KUJENGA UWEZO NA HUDUMA KWA MTEJA KWA AJILI YA H...
Na Jeremia Mwakyoma PICHA GLADYS LUKINDO - AGOSTI 27, 2026 Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) imepokea ugeni wa viongozi na wataalamu kutoka Hospitali...
Soma ZaidiKAMATI YA KUDUMU YA BAJETI YA BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR YAIPONGEZA SERIKALI...
Na Jeremia Mwakyoma, Jeremiah MbwamboPICHA NA GLADYS LUKINDO - AGOSTI 26, 2026 Akizungumza wakati wa ziara ya Kamati hiyo kutembelea Hospitali ya Benj...
Soma ZaidiEMBASSY OF TANZANIA, THE HAGUE
UBALOZI WA TANZANIA, THE HAGUE Leo Tarehe 24 Agosti, 2026 Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Netherlands umeupokea na kufanya mazungumz...
Soma ZaidiBMH WAPEWA MAFUNZO YA MFUMO WA UFATILIAJI NA TATHMINI
Na Gladys Nicodemus Lukindo, Dodoma Watumishi wa Hospitali ya Benjamin Mkapa wapewa mafunzo ya mfumo wa Ufuatiliaji na Tathmini ili kuboresha utendaji...
Soma ZaidiBMH KUELEKEA KUWA HOSPITALI YA TAIFA, MSISITIZO WA UBORA WA HUDUMA UENDELEE KUWA...
Na Jeremia MwakyomaPicha na Gladys LukindoAGOSTI 15, 2026Menejimenti na Watumishi wa Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) wametakiwa kuendelea kuboresha...
Soma ZaidiWAKURUGENZI WA ORCI na BMH WATEMBELEANA NA KUSHAURIANA JUU YA HATUA ZA UJENZI WA...
Na Jeremia Mwakyoma, Jeremia MbwamboPicha na Gladys LukindoDODOMA - JULAI 6, 2026 Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road (ORCI) ,...
Soma ZaidiWAZIRI WA KILIMO NA USALAMA WA CHAKULA WA JAMHURI YA SUDAN KUSINI MHE. CLEMENT J...
Na Jeremia Mwakyoma, Jeremiah MbwamboPICHA: GLADYS LUKINDO - DODOMA JULAI 6, 2026 Waziri huyo wa Kilimo na Usalama wa Chakula wa Jamhuri ya Sudan Ku...
Soma ZaidiUJUMBE WA HOSPITALI YA RUFAA YA KANDA -MBEYA WATEMBELEA BMH KUBADILISHANA UZOEFU...
Na. Jeremiah Mbwambo,Picha: Jeremia Mwakyoma Dodoma Agosti 24, 2026 Viongozi wa Hospitali ya rufaa ya kanda ya nyanda za juu kusini-Mbeya wamefika kat...
Soma ZaidiBMH YAWASHUKURU WADAU WALIOWEZESHA MATIBABU YA MOYO KWA WATOTO WALIOTOKA NCHINI...
19 July 2026, Dodoma. Mkurugenzi Mtendaji Prof. Abel Makubi ametoa shukrani kwa Mhe. Balozi Gelasius Byakanwa na wadau mbalimbali waliowezesha matib...
Soma ZaidiHOSPITALI YA BENJAMIN MKAPA IMEWEKA KAMBI JIJINI ARUSHA
19 JULAI 2026, ARUSHA Mkuu wa msafara Daktari Bingwa wa magonjwa ya mfumo wa mkojo, Okoa Sukunala ameeleza mwitikio wa wananchi wa Arusha kuhudhuria...
Soma ZaidiBALOZI WA TANZANIA NCHINI BURUNDI NA BALOZI WA BURUNDI NCHINI TANZANIA WATEMBELE...
Na Jeremia Mwakyoma, Gladys Lukindo na Jeremia Mbwambo DODOMA - JULAI 17, 2026 Balozi wa Tanzania nchini Burundi Mhe. Gelasius Byakanwa na Balozi wa...
Soma ZaidiWAZIRI MKUU AWEZESHA UWT KUCHANGISHA BIL 2.4 KUOKOA MAISHA YA WATOTO BMH
Na. Jeremiah Mbwambo na Jeremia Mwakyoma Picha: Gladys Lukindo Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba(Mb), ametoa wito kwa Watanzania, taasisi za...
Soma Zaidi