Habari
BMH YAPOKEA GARI NYINGINE YA KUBEBEA WAGONJWA
Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) imepokea gari nyingine ya kubebea wagonjwa hivyo kufikisha magari hayo matatu. Akiongea wakati wa kukabidhi gari hi...
Soma Zaidi700 KUFANYIWA UCHUNGUZI WA MOYO BMH
Watu 700 wanatarajiwa kufanyiwa uchunguzi wa moyo kwenye kambi ya moyo katika Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH). Daktari Bingwa Moyo wa BMH, Dkt Calv...
Soma ZaidiDAKIKA 40 CHUMBA CHA WANAOZALIWA KABLA YA WAKATI
Novemba 17, 2023, Dunia iliadhimisha siku ya Mtoto aliyezaliwa kabla ya wakati, siku moja kabla, nilibahatika kufika katika Wodi maalumu kwenye mojawa...
Soma ZaidiBMH YAPELEKA HUDUMA ZA DHARURA KATESHI
Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) imepeleka timu ya wataalamu katika mji wa Katesh kuongeza nguvu za huduma za Kiafya za dharura kwa manusura wa Mafur...
Soma ZaidiWAPANDIKIZWA BETRI KWENYE MOYO BMH, MADAKTARI 70 WAKIPEWA MAFUNZO
Wagonjwa 3 wamenufaika na huduma ya kupandikizwa Betri ya kwenye Moyo katika kambi ya matibabu ya Moyo na Mafunzo ya kubaini wagonjwa weny...
Soma ZaidiTUNATIBU APONYAE NI MUNGU
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kati Benjamin Mkapa (BMH) amewaomba viongozi wa dini kuendelea kuwaombea wagonjwa na watoa hudum...
Soma ZaidiBILLION 2.7 YAENDELEA KUOKOA WATOTO WENYE UGONJWA WA SELIMUNDU TANZANIA
Bw. Jeremiah Mbwambo Msemaji wa Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) ameeleza, kila ifikapo Juni 19 Dunia huadhimisha Siku ya Selimundu. “Siku hii...
Soma ZaidiMKURUGENZI MTENDAJI BMH ATETA NA CHAMA CHA MADAKTARI BINGWA WA UPASUAJI TANZANIA
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Benjamin Mkapa ameeleza ukuaji wa Hospitali ya Benjamin Mkapa ndani ya muda mfupi katika mkutano wa chama cha mada...
Soma ZaidiBMH YAPANDIKIZA UUME KWA MARA YA KWANZA NCHINI
Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH)kwa kushirikiana na chama cha madaktari bingwa wa upasuaji wa mfumo wa mkojo nchini (TAUS) pamoja na dkt. Bingwa kuto...
Soma ZaidiKAMATI YA BUNGE YA AFYA YA NAMIBIA YAITEMBELEA HOSPITALI YA BENJAMIN MKAPA.
Kamati ya kudumu ya masuala ya usawa wa jinsia, maendeleo ya jamii na ustawi wa familia kutoka Bunge la Namibia leo wamefanya ziara katika Hospitali y...
Soma ZaidiMADAKTARI WA UPASUAJI WAKUTANA BMH
Madaktari waupasuaji wamekutana Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) jijini Dodoma . Dkt Sylvia Jumbe, mratibu wa mafunzo katika Hospitali ya Benjamin M...
Soma ZaidiWATUMISHI BMH KUCHANGIA DAMU
Kuelekea Juni 14 siku ya kuchangia damu duniani baadhi ya watumishi wa Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) kutoka Idara ya Maabara wamejitokeza kuchangi...
Soma Zaidi