BMH KUANZISHA MASHIRIKIANO NA CHUO KIKUU CHA MANSOURA ,MISRI

Published: Jul 04, 2026
BMH KUANZISHA MASHIRIKIANO NA CHUO KIKUU CHA MANSOURA ,MISRI cover image

MANSOURA MISRI, 14 JUNE 2026



Hospitali ya Benjamin Mkapa imeanza makubaliano ya awali ya kushirikiana na Chuo Kikuu cha Mansoura kilichoko Misri katika masuala ya kujengea uwezo Watalaamu , kambi za Matibabu, Mafunzo kwa VitendoΒ  na Tafiti.

Mansoura ni moja ya vyuo vikubwa nchini Misri na ina Hospitali ya Kisasa inayotoa Tiba za hadhi ya kibobezi katika maeneo zaidi ya 12.

Β