700 KUFANYIWA UCHUNGUZI WA MOYO BMH
700 KUFANYIWA UCHUNGUZI WA MOYO BMH

Watu 700 wanatarajiwa kufanyiwa uchunguzi wa moyo kwenye kambi ya moyo katika Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH).

Daktari Bingwa Moyo wa BMH, Dkt Calvin Masava, amesema leo kuwa BMH inashirikiana na madaktari sita kutoka Netherlands kufanya kambi hiyo ya moyo.

"Lengo la kambi mbali na kutoa huduma lakini inalenga kubadilishana uzoefu na wenzetu kutoka Netherlands," anasema Daktari huyo bingwa wa moyo.

Dkt Masava amefafanua kuwa watakaokutwa na matatizo ya moyo watapatiwa matibabu hapa hapa BMH.

"Hii ni kambi yetu ya kwanza ya pamoja na wenzetu kutoka nje kwa kwa mwaka huu," ameongeza.

Dondoo za Afya na Habari
Kula Mlo Kamili
Kula Mlo Kamili

Eat a combination of different foods, including fruit, vegetables, legumes, nuts and whole grains. A...

  View more
Usivute Sigara
Usivute Sigara

Uvutaji wa sigara ni hatari kwa afya ya mapafu yako, uvutaji wa sigara unaweza sababisha matatizo ya...

  View more
Punguza Vyakula vyenye mafuta mafuta
Punguza Vyakula vyenye mafuta mafuta

Fats consumed should be less than 30% of your total energy intake. This will help prevent unhealthy...

  View more
Kuendesha Gari.
Kuendesha Gari.

Unashauriwa kutokuendesha gari kila siku na wakati mwingine unatakiwa kutembea walau miguu yako na m...

  View more
Epuka ulevi wa Pombe
Epuka ulevi wa Pombe

There is no safe level for drinking alcohol. Consuming alcohol can lead to health problems such...

  View more