BMH YAWASHUKURU WADAU WALIOWEZESHA MATIBABU YA MOYO KWA WATOTO WALIOTOKA NCHINI BURUNDI
19 July 2026, Dodoma.
Mkurugenzi Mtendaji Prof. Abel Makubi ametoa shukrani kwa Mhe. Balozi Gelasius Byakanwa na wadau mbalimbali waliowezesha matibabu ya moyo kwa watoto wa nchini Burundi waliofanyiwa upasuaji wa moyo katika Hospitali ya Benjamini Mkapa
Wadau wengine aliowashukuru ni pamoja na Familia ya Ndugu Fabien , CRDB Burundi na Interpetrol Burundi.