Kliniki ya Macho

Idara ya Magonjwa ya Macho (Ophthalmology)
Hospitali ya Benjamin Mkapa
Sifa za Idara (Faida za Ushindani)
- Matumizi ya teknolojia ya kisasa
- Utaalamu maalum katika fani ya macho
- Huduma zinazomweka mgonjwa mbele katika kila hatua ya matibabu
Huduma Zinazotolewa
- Huduma za kliniki za macho
- Huduma za upasuaji wa macho
- Huduma za miwani (optical services)
- Huduma za outreach kwa jamii
Watoa Huduma
- Madaktari Bingwa wa Macho (Ophthalmologists)
- Wataalamu wa Macho (Optometrists)
- Wauguzi wa macho (Ophthalmic Nurses)
Kliniki na Huduma Nyingine
- Kliniki ya Glaucoma
- Kliniki ya Ophthalmolojia ya Watoto
- Kliniki ya Retina
- Kliniki ya Oculoplastic
- Huduma za uchunguzi kwa kutumia vifaa vya kisasa kama:
- OCT (Optical Coherence Tomography)
- Visual Field Assessment
- Ultrasound ya Jicho
- Matibabu kwa kutumia Laser
Idadi ya Wagonjwa Tunawahudumia kwa Mwaka
- Takribani wagonjwa 10,000 kwa mwaka
Jinsi ya Kupata Huduma Zetu
- Kupitia simu
- Kwa kutembelea kliniki yetu moja kwa moja
- Kupitia huduma za outreach kwa jamii
Taasisi Tunazoshirikiana Nazo na Namna ya Ushirikiano
- CCBRT, KCMC, MNH, UDOM, na BMC
- Ushirikiano huu unahusisha mabadilishano ya wataalamu, misheni za kibingwa, na kuimarisha huduma zinazomlenga mgonjwa
Mikakati ya Kuboresha Ubora wa Huduma
- Mafunzo kazini kwa wataalamu
- Ushirikiano wa fani mbalimbali
- Uboreshaji wa mchakato wa utoaji huduma
- Huduma zinazomweka mgonjwa mbele
- Udhibiti na uboreshaji wa ubora wa huduma kila wakati
Maboresho Yanayoendelea kwa Sasa
- Uimarishaji wa huduma kwa mtazamo wa kumweka mgonjwa mbele
- Kuendeleza tafiti na ubunifu katika huduma za macho
Kwa Kuhifadhi Nafasi ya Kliniki au Maswali Zaidi
📞 Wasiliana nasi kupitia:
+255 (0) 735 000 002
Â
Clinic Specialists

Dr. Jacinta Feksi
Ophthalmologist