Kanusho
Tovuti hii inaletwa kwako na BMH. Taarifa zinazowekwa kwenye tovuti hii zinaweza kukupa kiunganishi au kielekezi kwenda kwenye taarifa zilizotengenezwa na kusimamiwa na taasisi nyingine. BMH inakuletea viunganishi na vielekezi hivyo kwa lengo la taarifa tu. Hivyo unavyochagua kidokezo nje ya tovuti ya BMH unakuwa umeondoka na utakuwa chini ya taratibu za tovuti hiyo nyingine.
Hivyo BMH haikuhakikishii upatikanaji wa viunganishi hivyo kama kurasa kila wakati. BMH haiwezi kuthibitisha matumizi ya hakimiliki ya taarifa zilizoko katika viunganishi vya tovuti nyingine. Mtumiaji unashauriwa kuomba ithibati kutoka kwa mmiliki halisi wa tovuti iliyounganishwa kwa kidokezo.