UKAGUZI WA VIFAA VYA RADIOLOGY

Uongozi wa Benjamin Mkapa Hospital kushirikiana na wizara ya afya inatarajia kufanya ukaguzi wa idara ya mionzi siku na tarehe tajwa hapo juu.