All articles
Dira na Dhamira
Dira: Kuwa Hospitali ya kisasa yenye teknolojia ya juu inayojengwa juu ya sayansi mpya kwa ajili ya jamii yenye afya bora na maendeleo endelevu ya ta...
Read MoreKutoka kwa Mkurugenzi
Karibu kwenye Tovuti ya Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) Tangu kuanzishwa kwake na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tarehe 13 Oktoba 2015...
Read MoreKliniki Ya Macho
Kliniki ya Magonjwa ya macho inatoa huduma kwa wagonjwa wenye matatizo mbalimbali ya macho, pia kliniki ya Magonjwa ya macho inatoa huduma ya upasuaji...
Read MoreHuduma ya Upasuaji
Idara ya Upasuaji wa Ubongo, Mishipa ya Fahamu, Uti wa Mgongo ilianzishwa July 2022 ikiwa na idadi ya watendaji wanne, ambao ni Daktari Bingwa mmoja,...
Read MoreKliniki ya Mfumo wa Mkojo na jinsia ya Kiume
Kliniki ya Mfumo wa mkojo na Jinsia ya Kiume inatoa huduma za endoscopic (upasuaji wa matundu) kwa wagonjwa wenye tezi dume, kansa zakibofu, upan...
Read MoreKliniki ya Magonjwa ya Dharura
Kliniki ya Magonjwa ya Dharura inatoa huduma zote za dharura ikiwemo waathirika wa ajali na magonjwa mengine ya dharura. Kliniki ina mpango wa kuanzis...
Read MoreSehemu ya Saratani na Tiba ya Nyuklia
Idara ya Saratani katika Hospitali ya Benjamin Mkapa ilianzishwa mwaka 2018 kwa lengo la kutoa huduma maalum kwa wagonjwa waliogundulika kuwa na sarat...
Read MoreMagonjwa ya Masikio, Pua na Koo
Kliniki ya Masikio, Pua na Koo, ina vifaa tiba vya kisasa aina ya โEndoscopic instrumentsโ vifaa hivi, vimewezesha kuboresha huduma katika kliniki ya...
Read MoreSehemu ya Kliniki ya Magonjwa ya Watoto
Idara ya Watoto, iliyoanzishwa mwaka 2018, ilianzishwa kwa lengo la kutoa huduma maalum na za hali ya juu za afya kwa watoto na vijana. Tangu kuanzish...
Read MoreRekodi za Kiuuguzi
Idara ya kumbukumbu za kitabibu na taarifa za afya (medical records) ilianzishwa tarehe 13/10/2015 wakati hospitali ilipoanza kutoa huduma na ilianza...
Read MoreSehemu ya Mifupa na Majeraha
Idara ya Mifupa na Majeraha katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, iliyoanzishwa mwaka 2017, imejikita katika kutoa huduma kamili na za kitaalamu kwa wag...
Read MoreKliniki ya Fiziotherapia
Kliniki ya Fiziotherapia inatoa huduma za tiba ya utengemavu kwa watoto wenye ulemavu na utindio wa ubongo, watu wazima wenye kiharusi, mgongo, waliou...
Read MoreSehemu ya Magonjwa ya Mfumo wa Fahamu
Idara ya Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu katika Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) ni mfano wa ubora, ikiwa na dhamira ya kutoa huduma bora za...
Read MoreSehemu ya Magonjwa ya Damu na Tiba ya Uongezaji Damu
Idara ya Hematologia katika Hospitali ya Benjamin Mkapa imekuwa kinara katika kutoa huduma maalum kwa magonjwa ya damu, ikifanya mafanikio makubwa kat...
Read More