Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa akisalimiana na mtoto Elisha alienufaika na Huduma za Upandikizaji wa Uloto pamoja na mtoto Esther aliemchangia Elisha Uloto.
Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa akikata utepe kuashiria Uzinduzi wa Huduma za Upandikizaji wa Uloto katika Hospitali ya Benjamin Mkapa.
Watumishi wa Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) pamoja na wageni waalikwa wakifuatilia Hotuba ya Mgeni Rasmi Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa wakati wa Uzinduzi wa Huduma za Upandikizaji wa Uloto.
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea maelezo juu ya huduma ya Upandikizaji uloto kutoka kwa Dkt. Stella Malangahe ambae ni daktari bingwa wa Magonjwa ya Damu wa Hospitali ya Benjamin Mkapa.
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika picha ya pamoja na baadhi ya watoa Huduma wa Hospitali ya Benjamin Mkapa.
Rais wa Jamhuri ya Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na mmoja wa watoto ambae anatarajiwa kupandikizwa uloto alipotembelea Hospitali ya Benjamin Mkapa