Tafiti
Maendeleo katika;
Miundombinu ya utafiti, mwongozo wa ushauri, kuendeleza na
sasisha sera, mikakati na miongozo inayohusiana na utafiti katika BMH,
utafiti wa mienendo na maadili
Kuratibu Tafiti
Shughuli za utafiti wa ndani zinazofanyika katika BMH,
kibali cha kutolewa kwa utafiti wa nje uliofanywa katika BMH na
kuratibu Bodi ya Ukaguzi wa Taasisi (IRB) kwa ajili ya utafiti katika BMH