Upandikizaji Figo
Benjamin Mkapa Hospitali inawataarifu wateja wake wote kuwa sasa inatoa huduma ya kupandikiza figo kwa wagonjwa wenye matatizo ya figo, Huduma hii itaanza kutolewa tarehe mosi mwezi desemba mwaka 2022. Nyote mnakaribishwa kwa huduma bora zaidi.