Matibabu
Matibabu
Tunatoa huduma za matibabu kwa ugonjwa uliogundulika toka maabara, huduma hii ni kwa matibabu ya kawaida mpaka ya kibingwa na ubingwa bobezi.
Uchunguzi
Sehemu hii ina jukumu la kuratibu na kufuatilia shughuli za utafiti BMH na kuhakikisha matokeo ya utafiti yanatafsiriwa ili kuboresha utendaji wa Kliniki za Hospitali.