BMH KUOKOA MAISHA YA WATOTO WENYE MATATIZO YA MOYO NCHINI
08 Feb, 2023
Pakua
Hospitali ya Benjamin Mkapa, leo Februari 06, 2023 imesaini makubaliano ya ushirikiano wa kutoa Huduma za Upasuaji wa Moyo kwa Watoto na Shirika lisilo la Kiserikali la Childrens Heart Charity Association la Nchini Kuwait.