Serikali ya Tanzania kupitia BMH imekabidhiwa uenyeji wa Kituo cha Umahiri cha Upandikizaji Uloto na Sayansi ya Magonjwa ya Damu cha Afrika Mashariki. Published: Sep 10, 2025