Event: SIKU YA BMH 2023

SIKU YA BMH 2023

Hospitali ya Benjamin Mkapa inayofuraha kuwataarifu kuwa

Siku ya BMH imewadia, kama ilivyoada itaadhimishwa Oktoba 13, 2023,

Tutaendelea kutoa taarifa kuhusu matukio ya awali kadili siku zanavyosogea.