
MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI
Hospitali ya Benjamin Mkapa itafanya mkutano na waandishi wa habari siku ya Alhamisi kuanzia saa tatu Asubuhi, Mkutano utahusu mwenendo wa kambi ya Uchunguzi na Matibabu ya Moyo kwa watoto inayoendelea Hospitalini hapo.