DAKTARI BINGWA KUTOKA HOSPITALI YA APOLO INDIA AITEMBELEA HOSPITALI YA BENJAMIN MKAPA NA KUANZA MCHAKATO WA MASHIRIKIANO KUPANDIKIZA INI .

Published: May 08, 2026
DAKTARI BINGWA KUTOKA HOSPITALI YA APOLO INDIA AITEMBELEA HOSPITALI YA BENJAMIN MKAPA NA KUANZA MCHAKATO WA MASHIRIKIANO KUPANDIKIZA INI . cover image

Daktari mbobezi wa upasuaji na upandikizaji Ini Dr. Raghavendra Babu amefanya ziara hiyo ili kuona maeneo ya kushirikiana ikiwa ni pamoja kuanzisha huduma ya upandikizaji ini.



Haya yamekuja baada ya mkutano wa kwanza wa kisayansi wa upandikizaji viungo ulio andaliwa na Hospitali ya Benjamin Mkapa na kufanyika tarehe 06/05/2026