Ziara ya BMH katika Kituo cha Seli Mundu kwa ajili ya kujadili ushirikiano na maandalizi ya maadhimisho ya miaka 10 yatakayofanyika tarehe 8 Mei, 2026.

Published: Feb 17, 2026
Ziara ya BMH katika Kituo cha Seli Mundu kwa ajili ya kujadili ushirikiano na maandalizi ya maadhimisho ya miaka 10 yatakayofanyika tarehe 8 Mei, 2026. cover image

Ziara ya BMH katika Kituo cha Seli Mundu kwa ajili ya kujadili ushirikiano na maandalizi ya maadhimisho ya miaka 10 yatakayofanyika tarehe 8 Mei, 2026.

Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH), Prof. Abel Makubi, ametembelea Kituo cha Seli Mundu kwa lengo la kujadili ushirikiano katika sekta ya afya, sayansi, uhamasishaji wa rasilimali na elimu.

Dr. Deo Soka (TSDA) na Prof. Julie Makani, Kituo cha Seli Mundu cha MUHAS.

Jumatatu, 9 Februari 2026.