BMH KUANZISHA MASHIRIKIANO NA TAASISI ZA SERIKALI KOREA KUSINI
Balozi wa Tanzania nchini Korea Mh. Noel Emmanuel Kaganda amewezesha mazungumzo baina ya Mkurugenzi Mtendaji Prof. Abel Makubi na Viongozi wa Taasisi za Kiserikali na Zisizo za Kiserikali nchini Jamhuri ya Korea.
Mazungumzo hayo yamelenga kufanya mashirikiano baina ya Hospitali ya Benjamin Mkapa na Taasisi hizo katika maeneo ya Matibabu, Mafunzo na Utafiti.
.webp)