HABARI KATIKA PICHA: BMH NA IAEA KUSHIRIKIANA
3 Sept 2026, Vienna Austria
Hospitali ya Benjamin Mkapa na Shirika la Nguvu za atomiki Duniani( IAEA) kuendelea kushirikiana katika kusaidia usimikwaji wa vifaa Tiba Mionzi na Mafunzo ya Watalaamu katika Mradi wa Kituo cha Tiba, Mafunzo na Tafiti kinachojengwa na Serikali ndani ya taasis hiyo
