Kuelekea hitimisho la maadhimisho ya miaka 10 ya BMH; Mhe. Rais Mwinyi wa Zanzibar atembelewa na Viongozi wa BMH wakiongozwa na Prof Makubi, Mkurugenzi Mtendaji
Habari Katika Picha
4 March 2026, Zanzibar
Kuelekea hitimisho la maazimisho ya miaka 10 ya BMH.
Mhe. Rais Dr. Hussein Ally Mwinyi ametembelewa na Viongozi wa Hospitali hiyo wakiongozwa na Prof Abel Makubi, Mkurugenzi Mtendaji.