MAADHIMISHO YA SIKU YA KISUKARI DUNIANI 2025
Hospitali ya benjamin mkapa yaadhimisha siku ya kisukari duniani 2025 kwa kufanya matembezi , kutoa elimu na kufanya uchunguzi na matibabu ya ugonjwa wa kisukari.
Maadhimisho hayo yanakauli mbiu isemayo: Ustawi na Ustawi wa Afya.