MAKAMU WA PILI WA RAIS SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR APOKEA UJUMBE WA HOSPITALI YA BENJAMIN MKAPA
Mkurugenzi Mtendaji Hospitali ya Benjamin Mkapa Prof. Abel Makubi akiwa na baadhi ya wajumbe wa kamati ya maadhimisho ya miaka 10 ya BMH.
Wamefikisha ujumbe wa maadhimisho ya miaka 10 ya BMH kwa Makamu wa Rais wa pili Mhe. Hemed Suleiman Abdulla leo tarehe 18 Machi, 2026 Ofisini kwake Vuga Zanzibar