TUTAKUWA MABALOZI WAZURI WA HOSPITALI YA BENJAMIN MKAPA
Jun 25, 2024

Na Gladys Lukindo , Dodoma, 24 June, 2024 Hayo yamebainishwa  na  Bi. Jackline Mangesho, Mkurugenzi wa Asasi ya Mystreet First (MSF) w...

Soma Zaidi
DKT CHANDIKA AAGWA NA BODI YA WADHAMINI BMH
Jun 14, 2024

Mkurugenzi Mtendaji aliyemaliza muda wake Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH), Dkt. Alphonce Chandika, ameagwa rasmi leo na Bodi ya Wadhamini ya Hospita...

Soma Zaidi
PROF MAKUBI rasmi Benjamin Mkapa Hospital
Jun 12, 2024

Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) Prof Abel Makubi leo ameripoti rasmi Hospitali hii ya Rufaa iliyoko Makao Makuu ya nchi...

Soma Zaidi
MENEJIMENTI YA BMH YASHIRIKI MKUTANO WA TATHMINI UTEKELEZAJI WA MFUMO WA PEPMIS/...
May 17, 2024

Menejimenti ya Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) imeshiriki mkutano wa Tathmini ya Utekelezaji Mfumo wa Upimaji wa Utendaji Kazi kwa Watumishi na Taas...

Soma Zaidi
WATOTO WANNE WALIOPANDIKIZWA ULOTO BMH WAMEPONA KABISA SIKOSELI-UMMY
May 14, 2024

Watoto wanne waliopandikizwa uloto katika Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) wamepona kabisa ugonjwa wa sikoseli, amesema Waziri wa Afya, Mhe. Ummy Mwa...

Soma Zaidi
BMH KUJENGEWA KITUO CHA UMAHIRI CHA UPANDIKIZAJI ULOTO EAC
May 14, 2024

Hospitali Benjamin Mkapa (BMH) itajengewa Kituo cha Umahiri cha Upandikizaji Uloto cha Jumuiya ya Afrika Mashariki  (EAC), kwa mujibu wa Waziri w...

Soma Zaidi
BMH YAPOKEA GARI NYINGINE YA KUBEBEA WAGONJWA
May 10, 2024

Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) imepokea gari nyingine ya kubebea wagonjwa hivyo kufikisha magari hayo matatu. Akiongea wakati wa kukabidhi gari hi...

Soma Zaidi
700 KUFANYIWA UCHUNGUZI WA MOYO BMH
Feb 13, 2024

Watu 700 wanatarajiwa kufanyiwa uchunguzi wa moyo kwenye kambi ya moyo katika Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH). Daktari Bingwa Moyo wa BMH, Dkt Calv...

Soma Zaidi
DAKIKA 40 CHUMBA CHA WANAOZALIWA KABLA YA WAKATI
Dec 18, 2023

Novemba 17, 2023, Dunia iliadhimisha siku ya Mtoto aliyezaliwa kabla ya wakati, siku moja kabla, nilibahatika kufika katika Wodi maalumu kwenye mojawa...

Soma Zaidi
BMH YAPELEKA HUDUMA ZA DHARURA KATESHI
Dec 05, 2023

Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) imepeleka timu ya wataalamu katika mji wa Katesh kuongeza nguvu za huduma za Kiafya za dharura kwa manusura wa Mafur...

Soma Zaidi
WAPANDIKIZWA BETRI KWENYE MOYO BMH, MADAKTARI 70 WAKIPEWA MAFUNZO
Dec 01, 2023

Wagonjwa  3 wamenufaika na huduma ya kupandikizwa Betri ya kwenye Moyo katika  kambi ya matibabu ya Moyo na Mafunzo ya kubaini wagonjwa weny...

Soma Zaidi
TUNATIBU APONYAE NI MUNGU
Jul 24, 2023

Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kati Benjamin Mkapa (BMH) amewaomba viongozi wa dini kuendelea kuwaombea wagonjwa na watoa hudum...

Soma Zaidi